Pages

BLT



Karibu kwenye Kurasa zetu za TZC Mtandaoni.




BLT HABARI:

Huku Ligi Kuu za Mpira Duniani zikipamba Moto Kuelekea Ukingo, Ligi Kuu Ulaya (EPL) timu ya Manchester United Ikiwiana pointi na timu ya Leicester City huku Leicester City Ikiwa Juu Kwa tofauti ya Magoli matatu(3) na Ikiwa katika nafasi ya Nne(4) na Manchester United nafasi ya Tano(5).





EPL inaelekea ukingo Huku Timu mbalimbali zikipambana, Huku Manchester united akipambana Kuingia katika kinyanganyiro cha Ligi ya Mabingwa Ulaya Msimu Ujao Je kwa Mechi mbili zilizo baki tunaweza tarajia maajabu Mengi sana Kutoka Kwa Ligi hii Ulaya.

AFC Bournemouth, Aston Villa na Norwich City ni Timu ambazo ziko mbioni kushuka daraja katika Ligi Kuu ya EPL, Na Timu ya Norwich ikiwa imethibitisha Kushuka daraja Msimu Huu.

Aston Villa pamoja na AFC Bournemouth wamewana pointi  kwa kuwa na pointi 31 huku wakiwa katika nafasi za hatari kushuka daraja. Sambamba na hilo wametofautiana kwa Magoli Mawili (2) huku AFC Bournemouth akishika nafasi ya Kumi na nane(18) na Aston Villa Nafasi ya Kumi na Tisa (19). Timu hizi zimebakiza Michezo Miwili katika msimu huku timu ya Watford Ikiwa nafasi ya Kumi na saba(17) kwa pointi Tatu zaidi ya AFC Bournemouth na Aston Villa.



Ikiwa bado Mechi mbili kwa timu kumi na nane (18) kumaliza Msimu, je tutarajie mengi kwa msimu huu kwa upande wa Ligi Kuu Ulaya.

LA LIGA SANTANDER

Tukirudi nchini Hispain Ligi Kuu ya Hispania imejipatia bingwa baada ya Kukosa Ubingwa Kwa mda wa Misimu Mitatu. Kutoka Mwaka 2017 Timu ya Real Madrid Imekosa Kuchukua Ubimgwa mpaka Msimu Huu wa 2019/2020.


Real Madrid amechukua Ubingwa Kwenye Ligi ya Hispain Msimu 2019/2020 kwa Kumuacha FC Barcelona katika Nafasi ya Pili baada ya Kupoteza Moja ya Mechi zake Katika Msimu.

Burudani Na Michezo

Nchini Tanzania Magwiji wawili wa soka wenye uasama mkubwa wakutana katika dimba la taifa katika michuano ya ASFC kwenye hatua ya Mtoano Nusu Fainali.



SIMBA V YANGA

Matokeo:

SIMBA 4 - 1 YANGA

Baada ya Mtanange huu kati ya timu hizi mbili zilizo na upinzani mkubwa sana nchini Tanzania, Klabu ya Simba Imeonyesha uwezo wa hali ya Juu Katika Kipindi cha Msimu 2019/2020, na Kujipatia tiketi ya Kuingia kwenye Michuano ya Kitaifa Msimu Ujao - 2020/2021.

Klabu ya Simba pia Imeonyesha Uwezo Mkubwa baada ya Kuchukua Kombe la Ligi Kuu Bara Msimu 2019/2020 ikiwemo na Mechi zizidizo 5 kumaliza Msimu.
Mashabiki wa Klabu ya Simba


Mashabiki wa Yanga wahuzunika sana baada ya Kipigo hiki katika Michuano ya ASFC.

Mashabiki wa Klabu ya Yanga




Katika Michezo:


Mchezaji wa Klabu ya Yanga atuhumiwa na Mashabiki wa Klabu hio baada ya  Hujuma zilizo zushwa juu ya Mchezaji Huyo kujiunga na Klabu Pinzani, Lakini Mchezaji huyu amekiri Kusema Kuwa 

Mimi nina mkataba na klabu ya Yanga, nimekuja Tanzania kwa ajili ya Yanga hivyo hizo taarifa za mimi kwenda kujiunga na Simba hazina ukweli wowote," Morrison 

"Mashabiki wa Yanga wananipa heshima kubwa, nimekuwa nikipokea zawadi kama fedha na hata chakula.Nakumbuka mchezo wangu wa kwanza Singida baada ya mchezo mashabiki walishangaza kwani walinipa fedha nyingi zinazofikia laki tano au zaidi"

"Juzi tumekwenda kucheza na Namungo, mashabiki walinipa kuku wanne.. ki ukweli upendo huu ni wa kipekee. Nimecheza Afrika Kusini, DRC lakini nakiri sikuwahi kukutana na mambo haya"

"Najihisi ni mtu mwenye deni kubwa Yanga, napaswa kufanya zaidi ili kuhakikisha naisaidia timu na kuwapa furaha mashabiki wetu ambao wamekuwa wakituunga mkono wakati wote"

"

Haya Ndio maneno Kutoka Kwa Mchezaji wa Yanga Benard Morrison.

Habari za Hivi Punde:

Michuano ya Ligi Kuu Ulaya (EPL) - PREMIER LEAGUE


Manchester United 2-2 Southampton

Mechi iliyo kuwa ikisubiriwa sana na Mashabiki baada ya Klabu ya Chelsea Kupoteza Mchezo wao wa Mwishi katika Ligi baada ya Kufungwa Mabao 3-0 na Timu ya Sheffield United na Kubaki na Pointi 60 katika Msimamo wa Ligi akifuatiwa na Leicester City akiwa na Pointi 59.

Matokeo Kamili:

Manchester United 2 - 2 Southampton

Matokeo haya yanamfanya Manchester United Kuwiana Point katika Msimamo wa Ligi na Klabu ya Leicester City wakiwa na pointi 59 na Manchester United Kukosa Kufikia Nafasi ya Tatu (3) katika Msimamo wa Ligi wakiwa wamebakiwa na Mechi 3 Kumaliza Msimu.

 Aston Villa


Klabu ya Aston Villa iko Mbioni Kushuka Daraja Katika Ligu Kuu Ulaya - EPL Premier League, Ikiwa na Pointi 30 katika Nafasi ya 19 katika Msimamo wa Ligi.

Mechi Ifuatayo ya Aston Villa:

Everton V Aston Villa


Klabu ya Aston Villa Inaitaji Nguvu Kubwa sana maana bado Inauwezo wa Kuendelea Kuwa katika Daraja La Kwanza la ligi kuu EPL.



BAMBI

LA 

KITAAA


TZC













No comments:

Tz CoMics

TZC STUDIO